Mkuu tunalifanikishaje hili hatua kwa hatua adi kufikia mafanikio ya kuwianisha roho, nafsi na mwili ili niwe najisikiliza zaidi kutokea ndani yangu na sio nje?
Shukrani sana
Tatizo lina kama mwaka sahivi
Matibabu bado sijapata tiba serious zaidi ya dawa za hospital ambazo hazijanisaidia wananishauri tu nifanyiwe upasuaji
Dawa za kienyeji bado sijapata dawa inayoeleweka
Vipi mkuu una utambuzi na hili ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.