Recent content by aztec

  1. aztec

    JamiiForums Tanzania Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

    Yani mm nikiskia ivi ndo mzuka wa kupiga kura unapanda mara dufu #niyeye2020
  2. aztec

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

    Tuanze hapa 1.Nani anahubiri fujo 2. Kwanini anahubiri fujo 3. Angalia usikute huyu ynayemsifu kuwa anahubiri amani ndo zao la wengine kutahadharisha fujo Chunga sana Magufuli must go Ri
  3. aztec

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunapowambia CCM wanalazimisha watu waende kwenye mikutano ya kampeni muwe mnaelewa

    Hahaha spana za mama wa taifa
  4. aztec

    JamiiForums Tanzania GE2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono

    Twende mbele turudi nyuma bila ccm kung'oka madarakani hali itakua ile ile
  5. aztec

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

    Kama umekosa kazi si ulale tu ndo ujinga gani unatuletea cha kwanza tbc inatakiwa iombe radhi watanzania kwa muda wote toka huyu jamaa kaingia madatakani
  6. aztec

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Ilani ya ACT–Wazalendo, Kutoa Ajira mpya milioni 10. Zitto asema CCM ilitekeleza 31% ya ilani ya mwaka 2015

    Kwani ni TBC au ni ccm tv maana tbc wamejimilikisha
  7. aztec

    JamiiForums Tanzania Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

    Uku kwetu jiwe anang'ang'ania madaraka tu
  8. aztec

    JamiiForums Tanzania GE2020 UCHAGUZI 2020: Vyombo vya Habari tunavyovihitaji Tanzania

    Hii mechi ngumu sana
Back
Top Bottom