Recent content by azizi mwakatundu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Nimeandika mtazamo wangu wew ulitaka niandike nin??
  2. A

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Hivi nyie hamjiulizi tu kwa nin ajira zimesimama waliochaguliwa jkt wamerud mpaka waitwe tena na bado mnaulizia Nacte cha msingi tafuta tiba mbadala hata hao Nacte wakitoa bado tu unachangamoto kubwa mbeleni kazi sasa ni ngumu si kwa alie soma wala asiesoma zinduka kk awamu hii si yakutegemea...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Hawana mpka wizara ipitie
  4. A

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Nacte hawana tatizo tatizo lipo wizaran wameshamaliza mchakato wa kuchagua ila wanasubir ruhusa ya kutangaza kutoka wizara ya elimu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    Walioomba ualimu kwa kigezo cha chet na pass nne ndo wanao tuchelwesha ndalichako kaikataa hiyo so wanapangiwa vyuo vingine tofaut na ualim
Back
Top Bottom