Mleta mda uchambuzi wako ni wa juu juu sana hueleweki vizuri.
Shida hapa ni nini? Viwanda vya ndani vimekosa parachichi kwa sababu zimeuzwa kwenya? Bei ja parachichi imepanda maana kenya wananunua kwa bei kubwa? Madalali wa kenya wanachuma parachichi na kuzuia wazawa wasichume? Au ishu ni nini...
Mkuu fanya hivi:
Kwenye hiyo M2 tenga Laki 2 ( tu) ya mahari. Waambie hiyo Laki2 ndio utatoa kwa ajili ya chai kwenye vikao vya ndoa na siku ya ndoa pia. Wakisema haitoshi, waambie viungo vya chai unaweza kuwachukulia kutoka same ukawaletea ( kwa mfano tangawizi mbichi)
Wakikataa funga mlango...
Kuwa na wake wengi halafu hakikisha wote wanafahamiana. So mali zinakuwa complicated hazigawanyiki, mmoja akitaka mgawane unamuunganisha na wenzake wajadiliane, muda huo wewe unachezea simu na kuaangalia vichekesho mtandaoni.
Ni kweli kabisa. Ila pia kati 10 kama 9 hawaajiriki kwenye sekta binafsi. Nilipambana ili angalau niajiri 10 nisaidie kuongeza ajira, nikaanzisha ka chimbo, nikaajiri 10 wakanifilisi kwa wizi na uzembe. Nikafunga, wote wakarudi mtaani kuendelea na zoezi la kutafuta kazi.
Tangazo lako tu lilivyokaa ni sababu tosha ya kutouza.
Tangazo halisemi mbao ni saizi gani? Unauza bei gani? Wewe ni mfanya biashara wa mbao au umezipata wapi na vitu maelezo mengine ya msingi na bado unashangaa kwa nini huuzi.
Hili ni tatizo la wabongo wengi wanauza vitu kama vile...
Mkuu mimi nilianza kufuga nyuki kwa mizinga 20 mwaka 2020. Somo kubwa nililojifunza nyuki hawapatani kabisa na wadudu, hivyo ibabidi angalau kila mwezi ukague mizinga na kusafisha wadudu angalau mara 2 vingunevyo nyuki hawaingii au hukimbia. Ila sasa niko busy sana sipati muda wa kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.