Recent content by Aziza Iddi

  1. A

    Siombi tena kazi uhamiaji

    Uschoke ndugu,ipo siku Mungu atakunyooshea.We all know the reality but we keep on fighting.
  2. A

    Halima Mdee sasa aukana uchumba wake na Joshua Nassari...

    Mi sioni tatizo kwa Halima Mdee,maswala ya kimapenzi ni swala la mtu binafsia,not necessary to explain each & evry thins in public.Namkubali sana mwana dada huyu .
  3. A

    Women...........!

    Mi nadhan hakuna ubaya wowote,hayo ni makubaliano kati ya mume na mke kusaidiana majukumu,maisha ya ss ni tofauti na ya zamani,kila mtu anatakiwa aplay part,cha muhimu ni kuheshimiana tu!kazi za nyumbani baba anaweza akasaidia siku moja moja inapobid.
Back
Top Bottom