Recent content by azerbaijan

  1. A

    JamiiForums Tanzania The place of Many Tongues - Malindi

    We brag to have the ability to speak many languages, both local (English and Italian). Speak to us if you need any information about Malindi Kenya
  2. A

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mji wa Malindi Kenya

    Kati ya miji tajika katika pwani, Malindi ni moja wapo wa miji yenye historia kubwa baada ya miji kama Zanzibar na Mombasa. Inakisiwa kuuanzishwa karne ya kumi na tatu, ikiwa katika dola ya waarabu. Malindi kenya imepitia mikono wa wabambe kadhaa tangu enzi hizo. Hii ni ikiwemo waarabu wa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    Tanzania iko na sheria za ajabu ajabu sana. Kwetu kenya, si hatia kusajili tovuti mahali popote. Bora unafuata maadili yanayofaa nchini kenya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sanaa na Wasanii wa mji wa Malindi Kenya

    Sijui aliyesema lakini ni maneno ya busara sana. Kasema nini aliyesema? Kasipo na wivu hapana mapenzi!!! Mbona nasema haya? kila kukicha naangalia pandashuka za wasanii wa mji wangu wa Malindi huku nikilinganisha na wasanii wa mji mingine. Ni kama tunaonewa. Hii ni safari, nianza leo na kila...
Back
Top Bottom