Recent content by ayrib sevad

  1. ayrib sevad

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama punda anayekata roho anarusha mateke ya mwisho

    NIKIWA KATIKA HALI YA UFUASI NA USHABIKI Niliamini Kiukweli CHADEMA kilikuwa Chama cha Kisiasa Kilichokuwa na Dhumuni, Dira na Mtazamo Chanya juu ya Malengo, Mipango na Nia ya Dhati Kuwakwamua Wananchi wa Tanzania na Khali Duni za Kimaisha, Uonevu na Kuilinda Amani Tulionayo Maana Japo tu...
  2. ayrib sevad

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni makamanda wa Kinondoni, Mbowe na timu yako; Vitabu vya historia vitaandika

    Unawapongeza kwa Sababu Walitumia Nafasi Hiyo Kufanya Shambulizi la Kijasusi Kumpiga RisaSi Mtu Asiye Na Hatia na Kuwasingizia Police kwa Sababu Ndio walionekana kuwa Na SLaha. Billa Shaka Chadema Walikuwa Wamelipanga Tukio Hili, Nadhani ni Kwa Sababu Vyombo vya Usalama Havikufikiria Kutokea...
  3. ayrib sevad

    JamiiForums Tanzania Syria watungua ndege ya Israel

    Ni Sawa na Leo useme Tanzania Imeshindwa kuwasambaratisha Alshababu Ilihali Hufikirii Tofauti na vita ya Nchi na Nchi ni Kwamba Haya Makundi ya Kigaidi ama Kijasusi Hayana Kambi Malumu wala Makao Maalum, Hivi Unadhani Kweli yangekuwa na Makao na Kambi Maalum ni Vigumu Nchi Kama Nigeria...
  4. ayrib sevad

    JamiiForums Tanzania Syria watungua ndege ya Israel

    Hahaha Hivi Unadhani Israel anatafuta Nini? These Guys they are just Still Now Believing that The Country Like Jordan , Syria , Iran , and Sinai Peninsula ni Mali Yao So Kinachofanyika Sasa Kila atakaeingia In battle with them, Eneo watakaloliteka Baada ya Vita halitarudishwa Kwao, Inshu...
  5. ayrib sevad

    JamiiForums Tanzania Syria watungua ndege ya Israel

    Nadhani Nchi Kama Israel Kuisambaratisha Syria itatumia Mda wa Masaa Matano 5 hrs, Sawa Na Asilimia 30%, Ya Mda ilioutumia Mwaka 1967 Kuzisambaratisha Nchi za Jumuia ya Kiarabu Zilizoungana Pamoja Kuwapiga Mafundi Hao Wa Technology DUNIANI na Kupelekea Kulifanya Taifa la Palestina Kuwa Watu...
Back
Top Bottom