Recent content by ayhan2000

  1. A

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    lema ni mganga njaa,atoke hata leo,ila anakimbilia arusha badala ya chalinze?au ndo wamemtelekeza mgombea baada ya kukutana na kichapo pale kalenga
  2. A

    Hii ndiyo think tank team ya CHADEMA inayoleta ushindi mnono katika chaguzi mbali mbali

    unahahangaika kila mkishindwa nyimbo ni ileile na gitaa ni ileile vipi mliposhinda kata 3 za udiwani ktk chaguzi ndogo hayo mabilioni hayakuwepo?
  3. A

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    chagadema tumewazoea,mkishindwa mna nyimbo zilezile na gitaa ileile upuuzi mtupu,mmesahau kuwa na ktk chaguzi ndogo za madiwani mlishinda kata 3 na ktk kata hzo daftari lilikua ni lilelile,au mkishindwa ndio daftari lina kasoro?..kinachowaua ni kufanya tathmini ya kukubalika kwenu kupitia wingi...
  4. A

    Rose Kamili akamatwa na Polisi kwa kugawa rushwa Kalenga!

    hayo ndio mambo ya CHAGADEMA.
  5. A

    Mbowe: Nipo tayari kufia angani

    afe salama huyo mbowe,tumechoshwa na unafiki wa cdm,lkn pia wakumbuke ktk chaguzi za madiwani walitumia chopa na kuambulia maumiv,ni ufisadi mtupu wa cdm kukodi chopa kwa ndesamburo ili pesa ya ruzuku izunguke mlemle kwa familia ya kichaga.
  6. A

    Emmanuel Kilindu Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sumbawanga, aumbuka na kukalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CCM Sumbawanga Jana ameumbuka baada ya wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Wilaya kubaini kuwa Kiongozi huyo amekua ni kinara wa 1-MAJUNGU 2-KIBARAKA WA WAZEE WASALITI WA CHAMA 3-MUUMINI WA MAKUNDI NDANI YA CHAMA 4-KUTOTIMIZA AHADI NDANI YA CHAMA Toka Kiongozi huyu achaguliwe...
  7. A

    Serikali sasa kumpokonya bwawa la kijiji Mzindakaya

    Dodoma. Serikali imekiri kuwa Mbunge wa zamani wa Kwela, Dk Chrisant Mzindakaya anamiliki bwawa la maji linalotegemewa kama chanzo cha maji kwa wakazi wa vijiji mbalimbali vilivyopo katika Mkoa wa Rukwa, ikieleza kuwa inafanya mchakato wa kulirejesha mikononi mwake. Akizungumza katika...
  8. A

    Polisi na siri ya gwaride la utambuzi kwa majeruhi Arusha mlipuaji na sare za madaktari hospitalini?

    KAZI IPO:Maelezo ya mlinzi wa CHADEMA{Red Brigade) ni kuwa mhusika wa ulipuaji bomu alikua na sare za kiraia...WAKATI maelezo ya mwenyekiti wake wa Chama Taifa anasema alikuwa na sare za jeshi ya polisi na ndio wahusika wakuu......yetu masikio.
  9. A

    Kwa tabia hii ya uongo na uzandiki Mbowe hafai kuendelea kuwa kiongozi wa chama cha siasa

    HAO NDIO CHADEMA;Siku za mwanzo walikuwa wakiilaumu serikali kwa kuunda tume mbali mbali za uchunguzi kwa Madai kuwa kodi za wananchi zatumiwa vibaya JAMBO la ajabu Siku hizi wao NDIO vinara wa kuomba TUME mmmmh!TUNAYAKUBALI YALE TULOYAKATAA........mtusamehe wananchi
  10. A

    Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

    Ikumbuke ahadi hii......Tutahakikisha Nchi Haitawaliki hadi 2015..
  11. A

    Serikali yavunja mkataba wa nyumba na Mzindakaya

    Baada ya mbunge wa Swanga Mjini Mhe.Aeshi kuomba serikali isimamie haki na kuwahurumia Wana-sumbawanga ambao kwa miaka 15 sasa walipoteza umiliki wa Nyumba zilizoachwa na mradi wa RUDEP,Nyumba hizo alizihodhi Mzee Mzindakaya aliekua akilipa elfu 50 kwa mwezi huku yeye akiwapangisha watumishi wa...
  12. A

    Mzindakaya kashfa nzito zaibuliwa na Mbunge Aeshi Hilary (CCM)

    Hapa mi sijaona kosa la Aeshi mpaka mtoe maneno yote haya? Je mlitaka akae kimya? Je mlitaka Nyumba hizo aendelee kuzimiliki na wakati huohuo majaji wetu waendelee kukaa Nyumba za kupanga uswahilini? Je mlitaka watumishi wetu waendelee kupanga Nyumba kwake badala ya Serekali kuwapa watumishi.
  13. A

    Mzindakaya kashfa nzito zaibuliwa na Mbunge Aeshi Hilary (CCM)

    Watanzania sijuwi tukoje hili swala la Nyumba hizo ni Kwamba anachosema Aeshi ni kwanini Nyumba achukuwe alafu azipangishe kwa watumishi wa Serekali wanapanga kwake? Mafano meneja wa tra mkoa na mh jaji.sasa hili hata Mimi haliningii akilini. Huyu Mzee ni fisadi papa
Back
Top Bottom