Recent content by ay88

  1. A

    Treni mpya ya kwenda Kigoma ndiyo habari ya mjini! Sipandi tena gari kwenda Kigoma...

    Iko vzr kwakweli,sema waTz hatuna ustaarabu,mtaona matokeo yake ikishapiga trip kama mbili hv
  2. A

    Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

    Hela ipo kitambo kumbe huyu mama,apumzike tu ale upepo,hv kuna kufilisiwa tena hawa jamaa au ndo wakishavuliwa vyeo basiiiii
  3. A

    Job seeker

    Habari zenu wadau?jaman kijana wwnu natafuta kazi ktk kampuni yoyote ya logistics nina uzoefu wa mwaka mmoja,msaada wenu wadau hata ushauri,thnx
  4. A

    Nafasi za JKT

    Jamn wadau hayo mafunzo ni kwa muda gani na utaratibu inakuaje kwa wenye nia ya kujiunga?
Back
Top Bottom