Recent content by Awsom

  1. Awsom

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    HATA IWEJE...TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA,Tumeichoka CCM NA WAGOMBEA WAKE WOTE.
  2. Awsom

    Mwenezi wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma na Mtwara wajiunga na CCM

    CCM endelezeni uzushi na vioja vyenu tu ILA KURA ZETU NI KWA EDWARD LOWASSA.
  3. Awsom

    Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Wameshindwa mabosi wake yeye atawezea wapi?
  4. Awsom

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Huyo ana roho sawa na Mpinga Kristo...sijui anathubutu vipi kushika biblia.
  5. Awsom

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Slaa alikuwa na ushahidi katika zile porojo zake? Tuanzie hapo ili twende vizuri.
  6. Awsom

    Rostam Aziz: Slaa ni mpotoshaji

    CCM sasa wana mbinu za kitoto sanaaa na wameishiwa hoja za maana.teh teh teh MSIMAMO WETU NI KUMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA.
  7. Awsom

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    SISI TULIOITWA WAPUMBAVU NA MALOFA: TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA TU,hakika hatutampigia kura MAGUFULI.
  8. Awsom

    Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    -Na Fisadi Papa wa ESCROW JE? -Na yule wa kuuza Twiga zetu? -Na yule wa kuuza Meno ya Tembo? KWANINI CCM MNAWALINDA HAO?
  9. Awsom

    UKAWA tulieni, mbinu watumiazo CCM hizi hapa

    Habarini wakuu, Hahaha...nimeanza kwa kucheka,kwasababu hivi vioja vinavyotengezwa sasa vinachekesha sana na ni vya kitoto sanaaa..Hebu fikiria:- -Wanawaandaa vijana wao kisha wanawavalisha nguo za Chadema na kuwaambia waandamane kumtaka Slaa kurudi,kisha wanawalipa laki moja moja. -Huko...
  10. Awsom

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Dr.WILBROAD SLAA ALINUNULIKA,HILO LIKO WAZI,ILA SISI WATANZANIA:- -TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA NA SIO MAGUFULI. Hakika!
  11. Awsom

    Mwenezi wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma na Mtwara wajiunga na CCM

    CCM ENDELEENI NA UZUSHI WENU,ILA WATANZANIA TUTAMPIGIA KURA LOWASSA NA WAGOMBEA WA UKAWA. Hakika HATUTAMPIGIA KURA MAGUFULI.
  12. Awsom

    Waandishi wa Habari mliokuwa Serena, Leo mmeumbuka na pesa za hongo zimewatokea puani

    SISI TULIOITWA WAPUMBAVU NA MALOFA TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA. Hakika hatutampigia kura Magufuli wala mgombea yeyote wa CCM.
  13. Awsom

    Yashadina-do era ya ccm imefika kileleni

    CCM WANATUMIA MBINU ZA KIZAMANI SANAA,ILA MSIMAMO WETU NI: -KUMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA NA SIO MAGUFULI. Eeh Mwenyezi Mungu tusaidie.
  14. Awsom

    Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    WATANZANIA TULIOITWA WAPUMBAVU NA MALOFA TUTAMPIGIA KURA LOWASSA NA SIO MAGUFULI KWASABABU:- - Kwanza Tumeichoka CCM kwa ahadi zao za uongo -Tumeichoka CCM kwa kuwalinda mafisadi ambao mpaka sasa wapo CCM na tunawafahamu -Tumeichoka CCM kwa kuiba mali za umma kwa miaka zaidi ya 50...
  15. Awsom

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    CCM MNAJIAIBISHA SANA NA MBINU ZA KIZAMANI hatahivivyo,SISI WATANZANIA TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA.
Back
Top Bottom