Huyo ni kiongozi, namba 2. Aje na maono sambamba na maelekezo ya utekelezaji kutatua hayo anayosema sio tantalila za miaka nenda rudi ambazo wengi huwa wanazisema mdomoni pekee
Lile kundi lilijipanga kama tahadhari iwapo magu ataenda kinyume na matakwa/maslahi yao. Kweli alipoanza kumbana kila mmoja bila kuangalia sura na jina ndio akaanza kushambuliwa na simply kujua watu walijipanga magu alianza kuandamwa kwenye mitandao kinara akiwa kigogo, kwa wana harakati...
Izo skendo za omari kuwa chakula zimesemwa kitambo na watu tofauti. Nachoamini mwanaume rijali akiambiwa yeye ni choko hiyo vita yake hapo hiroshima na nagasaki kuna afadhali. Mtukane, mkashifu neno lolote ila sio rijali umwambie choko. Ata hivyo omari kitambo anapotezea sana hii kashfa anaejua...
Kaka ata kwenye mpira mchezaji akizingua anakula benchi anapewa nafasi mwingine. Acha kulialia muwekee mtu alafu unauchuna kama huna time nae tena. Hilo litaanza kumtesa kiakili na kisaikolojia kuliko unavojibembeleza kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.