Mkuu kuna mazingira hakuna lodge lakini mwl Mkuu anashindwaje hata kumweka mgeni nyumbani kwake?? Enzi hizo tunasoma, tulikuwa tunashuhudia wasimamizi wakotokea kwenye nyumba za walimu wao wenyeji
Huu ni ukweli kabisa ambao nimeushuhudia kwa macho yangu. Ni kuhusu walimu wanawake wanaokuwa wamepata nafasi ya kwenda kusimamia mitihani ya taifa kulazwa madarasani tena madarasa ambayo hayana madirisha au yenye madirisha yasiyowahakikishia ulinzi dada, wake na mama zetu.
Kituko kingine...
Siwezi nikasema ndiyo au hapana ila hata Mpango hakugombea na haikutokea. Mazingira ya Marekani ya Rais Nixon na Ford yalikuwa yanahusisha tuhuma za rushwa na kupelekea Rais Nixon kujiuzulu na Makamu Ford kushika hatamu.
Hapana mimi sio moingoni mwao, ila ilitokea na niliogopa sana na nikaamua kuandika. Sijawahi kumuotea kiongozi yeyote awe mkubwa ama mdogo ila ilitokea tu nadhani it was by coincidence
Ungeiandika tu kwani JF privacy yake ni kubwa tofauti na kusema kwa mdomo kama Lema. Nilichojifunza ni kuwa ndoto yoyote siyo ya kuipuuza na ndio maana nilicyoiweka hapa nilimalizia kwa kusema tumwombe Mwenyezi Mungu aepushie mbali jambo hili lisitokee na
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.