Recent content by Awadh Upunda

  1. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Dstv kwa sasa ni 99000 na unapata ofa ya 99000 compact
  2. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Inategemea na mahali ulipo kwa unakaa wap
  3. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Gharama ya usafir ni juu yake mteja ikiwa nje ya dar es salaam
  4. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Ni makubariano 2
  5. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Utapata kwa elfu 75000 tu
  6. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Katika utoaji taarifa haijalishi upo karibu vp na huduma cha muhimu ni kujua kile kinachoendele kwani co wote wanaolijua hilo
  7. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Hahahahahh ucjal ndugu
  8. Awadh Upunda

    Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

    Nunua dstv kwa Tsh 99000 na upate mwezi mmoja bure kifurushi cha compact bei hii ni bila ufundi yaan installation gharama ya ufundi ni Tsh 20000 tu Wasiliana nasi 0652170490 Ulipo Tunakufikia
  9. Awadh Upunda

    LG local chanel

    Npo mjin dar Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Awadh Upunda

    LG local chanel

    Nilijaribu kweny Samsung ckupata ila kwnye lg huakika Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Awadh Upunda

    Muongoza..

    Poa ndgu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Awadh Upunda

    Muongoza..

    Naomba kujua nini kazi ya hki kifaa maana cjaelewa ila najua kinatumika kwnye decoder ya explore na nimeona sehemu kimefungwa hki kifaa na fundi ametumia LNB ya kawaida na co smart LNB km tulivyozoea katika Explore zote Je kifaa hiki kinabadilisha signal za LNB ya kawaida kuwa smart au fundi...
  13. Awadh Upunda

    LG local chanel

    Hii nimeipata ktk TV ya smart ya LG sijui kwenye tv nyingine nikaona bora niwajulishe nanyi kuhusu hili, Kama wewe unatumia tv ya lg hili litakua linakuhusu tv yko inauwezo wa kukupa burudani kwa kuangalia Chanel za nyumbani tena nila malipo yoyote ITV Capital Cloud tv Wasafi tv Startv Chanel...
  14. Awadh Upunda

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Write your reply...kaka mi Nina humax je naweza kupata hzo Chanel?
Back
Top Bottom