Pata huduma ya ving'amuzi na ufundi

Awadh Upunda

Member
Feb 8, 2017
27
11
Tupo Magomeni Mapipa
0652170490
652d05caa78c4c5fe4124018fd48fc53.jpg
 
Bwana awadh mimi kingamuz changu cha azamu kilipigwa na shot ya umeme baada ya radi kupiga kikaungua sasa gharama yake ni kiasi gani
 
Kinga'azi cha azamtv huwa kina garantii ya mwaka km bado kpo kwenye garantii utafanyiwa bure km garantii imeisha gharama yke ni 20000 elfu
 
Nunua dstv kwa Tsh 99000 na upate mwezi mmoja bure kifurushi cha compact bei hii ni bila ufundi yaan installation gharama ya ufundi ni Tsh 20000 tu
Wasiliana nasi 0652170490
Ulipo Tunakufikia
94fa8b2eb6ce8a1427d66fb920f8eca06ae9785f.jpeg
 
Nunua dstv kwa Tsh 99000 na upate mwezi mmoja bure kifurushi cha compact bei hii ni bila ufundi yaan installation gharama ya ufundi ni Tsh 20000 tu
Wasiliana nasi 0652170490
Ulipo TunakufikiaView attachment 1075840
Kaka,
Hii ndo bei ya kila sehemu hata mitaani wanauza hivyo hivyo. Sasa mtu avutike na lipi kukupigia wewe kaka?

Njoo na something new ambacho mtu akiona anasema hata bora akucheki wewe badala ya kwenda wakala
 
Katika utoaji taarifa haijalishi upo karibu vp na huduma cha muhimu ni kujua kile kinachoendele kwani co wote wanaolijua hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom