Mh. Mkuu wa Mkoa naomba kukutaarifu kuwa TANROADS wa DSM hawatambui uwepo wa barabara zao ambazo zipo mbali na mji kama kibamba, mpigi magoe, makabe nk. Mfano ukienda mpigi magoe kutokea mbezi kupitia Mbezi High School barabara ni mbovu kiasi kwamba gari unalihurumia na kutamani kulibeba. Naomba...
Naomba kujua mpango wa mkuu wa mkoa kujenga stand ya mkoa ya kisasa pale mbezi luisi umefikia wapi? Je taarifa ya kuanza ujenzi mwezi July mwaka huu hazikuwa sahihi?
Kwani Papa anafikiri Mungu hawezi kuamua mtu wake kuingia majaribuni (kumtia majaribuni). Basi abadilishe na kitabu cha Ayubu kisiwepo kwenye biblia kwa maana Mungu mwenyewe aliruhusu Ayubu aingie majaribuni.
Huyu aliyeandika hapa kama ni mayor basi ni sifuri kabisa. Kwani hakufundishwa kuwa hapo siyo 'ovyo' ni hovyo? Eti kuwahahidi badala ya kuwaahidi. Kweli kama ni meyor basi ana hali ngumu sana.
Wakala wa barabara mijini na vijijini, mimi kama mkazi wa ubungo naomba kujua ni barabara gani za mitaa mnazozijenga kwa kiwango cha lami? Kwa maana kila nikienda temeke nakuta lami inapigwa mpaka barabara za vichochoroni lakini kwetu sivyo. Au mnafikiri Ubungo ni Sinza na mabibo na sehemu za...
Kwa meneja wa TANROAD DSM, sisi wakazi wa kuanzia mbezi mwisho kwa Yusufu mpaka mpigi magoe tunapata shida sana kwenye hii barabara. Barabara ni mbovu kiasi kwamba tunahangaika sana kupata usafiri. Wamiliki wa magari ya abiria wanaamua kuacha kuleta magari yao huku kwa sababu ya ubovu wa...
Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda mbezi.
Kuna baadhi ya maeneo kama kwa mgalula TANROAD hawakuweka mawe bali misumari. Mawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.