Recent content by Avatar

  1. Avatar

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    ni ruksa pia kwa mwenye machungu kujielezea mkuu
  2. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Mkuu hii LY ndio ina maanisha nini?
  3. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Wewe kumbe ulisoma hesabu advance... mhh
  4. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Wewe ndio mama shughuli mwenyewe mwenyewe...em mwaga mambo
  5. Avatar

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Nimejifunza mengi sana mkuu Natamani uendelee tu kuteleza madini haya hadimu.. Kama kuna nyongeza niongezee mkuu
  6. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    haya tuambie mamaa... zile enzi zako za ubint ilikuaje?
  7. Avatar

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    mkuu habari, unaweza dadavua kiufupi changamoto kuu za hii biashara ni zipi na pengine nini mzizi wa suluhu yake kwa upeo wako tafadhari?
  8. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    tuambie na wewe wa kwako usitubanie bwana
  9. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Elimu ya bongo ni ngumu sana
  10. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Baada ya kufeli 🤣🤣
  11. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Inauma sana.. unaishia kulia kimoyomoyo... Kimyaaa
  12. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Huyu atakua ticha wa mase
  13. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Kwahiyo tuiweke ..pumbavu zenu?😃
  14. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Hii tamu sana mkuu hahaha na unashiba vizuri
  15. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Wakuu... Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo?? Umeshapata chai???? Sasa sikiliza nikuambie, Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni. Kama utakua unakumbuka vizuri, tulikua na: 1. Majina ya utani ambayo iwe mwalimu au mwanafunzi kutaniwa 2. Misemo ya...
Back
Top Bottom