Recent content by Avastino

  1. A

    Papa Francis (VATICAN), ana ushawishi gani Zanzibar?

    Waliandika barua Usa bila mafanikio, sasa kwa papa. Bado mbinguni tu.
  2. A

    Hali ya Kisiasa Zanzibar: Maalim Seif aongea na Vyombo vya Habari - Jan 11, 2016

    Kwa hiyo kusudi la kuita waandishi ni kutoa malalamiko au ana jingine jipya.
  3. A

    Amini usiamini! Nimeokota Tsh milioni 6

    Kastory kazuri. Tunga na kengine tena.
  4. A

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Katiba ya Tz inasema tume iundwe na nani?
  5. A

    Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

    Anasubiri EDO ndo atengeneze.
  6. A

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Hayo ni mawazo yako yasiyofikirika sana. Ungejiuluza hivi kabla yakuandika uzi huu. 1. Tume huindwa na nani na kwa nn. 2. Kama anaongozwa na katiba ya JMT ni kipi alikivunja. 3. Kama katiba imemruhusu sasa u huru unaoutaka ni upi. 4. Ww ndo unaona sio huru lakin vyama vyote vilivyoingia kw...
  7. A

    Hizi ndio dalili za serikali ya Magufuli kushindwa? Au tuendelee kuwapa muda?Nimeamka asubuhi natoka

    Tatizo letu wa tz tunadhan kila kitu kitabadilika mara moja. Kwanza sisi wenyewe hatuna ushirikiano na viongozi. Wakisema tusisimame kwenye daladala bado tutataka tusimame. Sasa tunamkomoa Magu au twajikomoa. Okey umeona wakenya wanaishi na kufanyakazi bila vibali kwa nn usiende kutoa taarifa...
Back
Top Bottom