Recent content by avaragestudent

  1. avaragestudent

    Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

    English Gold : ni mchanganyiko wa dhahabu pamoja na madini chuma mengine hasa copper, tin nk kitahalamu : refers to artificial alloy made of copper (Cu) and some high amount of gold (Au) Pure Gold : 24 karats gold, signifies 99.9% purity. it does not contain traces of any other metals
  2. avaragestudent

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    maana ya kuweka hyo link ni nini bro?
  3. avaragestudent

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    nishaielew, kwaiyo hiyo Tsh 2000 wamekupa baada ya mimi ku register?
  4. avaragestudent

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    wanachagua kwa ushindani uwenda hakuwa na ufaul wa kutosha ku winn compitation iliyo kuepo kwenye combi au shule husika aijialishi uchague combination gani, nafasi utapewa kwa ushindani ndivo ilivo, kwaiyo tamisemi na selform zao wapo sawa kabisa chance ya uhuru wa kielim inaazingatiwa
  5. avaragestudent

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    shimba-ya-buyenze. nimependa sana uzi wako napendakukshukur wew na wadau wengine wotee asanteni sana, baadhii ya vitabu mlivo weka nilikua na uitaji navyo sana naskur kupitia hi thread nimewezakuvipata by the way 'am 2021 form four leaver expecting to bigan form five soon, so nahitaji material...
  6. avaragestudent

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    title: ATOMIC HABITS authour: james clear hiki kitabu kimenifunza mengi
  7. avaragestudent

    Vifaa na vitabu muhimu vya advance pamoja na bei uliza hapa

    bei ya dissecting kit, hiki kifaa kinaurazima kila mwanafunz awenacho, msaada plz kwa anae fahamu
  8. avaragestudent

    Wakurya na kiswahili

    😁😁😁
Back
Top Bottom