Recent content by avalanche

  1. avalanche

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kufunga mwaka wa fedha- mwendo wa Fine za kufa mtu

    Aisee hii serikali kweli iko desperate kusaka hela, nadhani taasisi mbali mbali hazijahit target zao hivyo sahizi ni fine za kufa mtu toka taasisi kadhaa wa kadhaa. Watakuja kwnye biashara yako watu wa OSHA, TRA, Wizara ya afya, Wizara ya mifugo kuhakiki kama unauza nyama iliyohakikiwa na bwana...
  2. avalanche

    JamiiForums Tanzania Boko, Dar: Ajali mbaya yatokea baada ya Lori kukosa breki na kuvamia waendesha bodaboda na kupelekea vifo na majeruhi

    Hii migari huwa nikiiona nakumbuka enzi za Bob Serera, zilivyokuwa zienda kuchota michanga mbagala ujenzi wa vigorofa ushenzi vya kariakoo
  3. avalanche

    JamiiForums Tanzania Hatari: Aponea chupu chupu kutafunwa na simba

    Waliomuua Kingunge ni mbwa wa kampuni ya Ulinzi
  4. avalanche

    JamiiForums Tanzania DSTV king'amuzi bora kuliko vyote vinavyopatikana Tanzania

    Dstv kwenye mvua hamna kitu
  5. avalanche

    JamiiForums Tanzania Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

    Hata kama best friend sio kumuachia mkeo amfiligise mara zote hizo, duh
  6. avalanche

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Amnyonga mpenzi wake hadi kufa kisa wivu wa mapenzi

    Fala sana huyo jamaa, asa anaenda jela atabakia kupiga nyeto mpaka kufa kwake
  7. avalanche

    JamiiForums Tanzania Si lazima maaskofu wote wawepo au wakubali tamko la Kanisa

    Nachowapendea walutheli hawanaga unafki kama sisi wakatolini, unanyege na bado unapenda mtumikia Mungu, Oa.. Unabifu na kiongozi mwezako wa dini, mchane, unataka hela na unaogopa kuiba sadaka, anzisha biashara yako... Ila mnaponiboa ni kujificha kwenye unywaji pombe, wengi wa viongoz wenu...
  8. avalanche

    JamiiForums Tanzania Alama iliyopo mkono wa kulia ni ya nini?

    Imetengenezwa kitaalamu hivyo ili kumtambua ambaye amechanjwa na asiyechanjwa kukinga ugonjwa wa ndui..
  9. avalanche

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna aliyekutana na hii kitu shuleni au ni mimi tu?

    Hahahahaha tabia ya kishenzi sana ya kuwawekea mabinti vioo chini ya sketi ilisababisha nishushuliwe na wasichana darasa zima nikawa kama nimetengwa hivi so hata sikuwa na demu wa aina hiyo
  10. avalanche

    JamiiForums Tanzania Kitambi ni ugonjwa wa akili

    Hayo ni maisha binafsi ya mtu, kama wewe yanakukera fanya yako... Wewe si Bakhresa
  11. avalanche

    JamiiForums Tanzania Handeni, Tanga: Wagoma kuzika wakidai marehemu katolewa figo

    Pole sana mama mzazi kwa uchungu unaopitia sahiz. Hamna kitu kinaumiza kama kumpoteza mtoto wako
  12. avalanche

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna ukarimu kwa wateja

    Achana na mijitu ya arusha utaumia kichwa bure.. Ushamba unawapa shida
  13. avalanche

    JamiiForums Tanzania Japhet Kaseba atajinasuaje na tuhuma za kuteka na kutesa watu?

    Dah Kasseba alikuaga role model kwetu vijana tuliopenda kickboxing ila hii kashfa dah, ila bado staki kuamini ni kasseba huyu huyu
  14. avalanche

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais angalia haraka mishahara ya marubani wako ATCL ni kidogo mno kulinganisha na makampuni yote ya ndege Tanzania

    Kwanza ushawah hata kukaa kwenye Cockpit ya ndege? Unajua ni asilimia ngapi ya matukio yanaweza toka kwenye aviation ambayo rubani atatakiwa kutumia akili zaidi kuepusha majanga? <1%...
Back
Top Bottom