Recent content by austin richard

  1. austin richard

    Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Mtoa huu UZI umechangia shilling ngapi hadi hivi sasa..maana inaelekea unajua kubana matumizi na nina imani umebana matumizi yako ili kumchangia mh.lissu safi sana kwa kuwa mzalendo Mungu akubaliki sana mtoa UZI
  2. austin richard

    Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

    Sio kosa lako mkuu tatizo kuelewa ni kazi sana.hv vitu vikubwa vimekuzidi uwezo wako unashindwa kupambanua mambo
  3. austin richard

    Matibabu ya Lissu Tsh. milioni 10 kwa siku, CHADEMA yaomba msaada Ujerumani, EU

    Una akili ndogo unashindwa kupambanua ishu kubwa kama hizi so tulia tu
  4. austin richard

    Mwenyekiti wangu, Mfukuze Nape Uanachama Mara Moja

    Mtoa uzi weka wazi ni nn hasa NAPE anachokifanya
  5. austin richard

    Matibabu ya Lissu Tsh. milioni 10 kwa siku, CHADEMA yaomba msaada Ujerumani, EU

    Braza una akili kubwa ningekua Nina kitengo ningekuachia angalau contena mbili za MAKINIKIA
  6. austin richard

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Braza kama kuna soda karibu hapo naomba chukua nakuja kulipia..u have got very expensive brain, I appreciate ur views! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. austin richard

    Mbowe na Msigwa nyie si madaktari rudini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge

    Kijana anafikiria nonsense ni ubongo ulio upigwa sindano ya usingiz.. Hadi leo hajui kwanni jamaa wapo kule swala la gharama na afya ya mtu[emoji15] [emoji15] haviendani kabisa pesa ipo cheap ukilinganisha uhai na afya ya mtu ~using OKING X307 Original Sent using Jamii Forums mobile app
  8. austin richard

    Kubenea: Tundu Lissu amesema anawajua kwa sura waliompiga risasi

    Inaelekea unajua mengi naomba ukawasaidie polisi kwenye upelelez Sent using Jamii Forums mobile app
  9. austin richard

    Kubenea: Tundu Lissu amesema anawajua kwa sura waliompiga risasi

    Kiongoz! Wewe unafikiri ni kwann watu wanahisi hivyo nipe angalau sababu mbili Sent using Jamii Forums mobile app
  10. austin richard

    Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Shetani hajawai mshinda Mungu hata siku moja... Saivi nipo kwenye bombardier q## nakatiza mitaa ya Lumumba nimeishiwa bando[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. austin richard

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Watu wasio Julikana..Na kwa kukisia kama hii michezo inafanywa na watanzania na kama hii system itaendelea hadi mwaka 2599 basi Nusu ya watanzania watakuwa hawajulikani pia... Ni wazo tu napita hapa #lumumba kununua vocha maana Bando linaelekea kuisha ivyo by using OKING X507 Sent using...
  12. austin richard

    UDSM tupunguzeni masifa sasa

    Watu wana blame mambo madogo sana yaani mzozo wote huu kisa id etiii UDSM sasa kina ina kera nini sasa kwa mfano....me cjawai sikia kina watu wame pofuka macho etii kisaa amemuona udsm student amevaa id...jaman ni sasa kwani ukipiga picha na id ni dhambi kweli nani ka kwambia icho kitu ni cha...
  13. austin richard

    Wanachuo hivi mtahonga tena fedha za Mkopo???

    Vp kwan fungu la kumi Nini mkuu… kwan linapatikana kwenye mkopo pekee jaribu kuwa na dynamic mind… so kwa wale ambao hawana mikopo unazungumziaje labda hao fungu la kumi wanatoa kwa njia zipi nakama wanatoa je hzo njia haziwezi tumika na mtu alie na mkopo alafu akatumia mkopo kununulia hizo sofa...
Back
Top Bottom