Recent content by aus

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jamani Laptop yangu iko slow sana

    computer inaweza kuwa slow kwa sababu nyingi sana so kwa iyo angalia vitu vya umuhimu kwa mfano angalia how many software running in your system kwa kutumia task manager na ukill some service au run refragment hard disk ......................................................
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa service pack 2 activation key au crack wadau

    windows sp 2 universal key ni 3TMD7-6HVGD-32W7D-3V2JP-99C6D ni sp2 yoyote
  3. A

    JamiiForums Tanzania matatizo kwa server

    nime clear bios lakini bado tatizo lipo
  4. A

    JamiiForums Tanzania matatizo kwa server

    kikawaida computer yoyote ile ina taa niongini mwa hizo huonyesha utendaji wa HDD ,power lakini hii server inaonesha red taa zote. kumbuka hiyo machine ni server ya intel na ipo picha yake hapo juu
  5. A

    JamiiForums Tanzania matatizo kwa server

    natumia windows server 2003
  6. A

    JamiiForums Tanzania matatizo kwa server

    motherboord yake ni ya Intel na shida ilianza kwa kukatika kwa umeme mara kwa mara lakini ha kushangaza ni kwamba shida ya umeme tumesolve lakini tatizo linaendelea kujitokeza ni hiyo server ya juu inayoonesha red
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jaman

    angalia kwenye sound panel kama iko sawa basi haina sound driver
  8. A

    JamiiForums Tanzania matatizo kwa server

    mimi nina server the intel shida yake ni kwamba unapoiwasha itawaka kwa muda wa dakika 5 au mbili halafu inawaka taa ya red ikiwa inamanisha kuna tatizo lakini limejaribu ku clear bios bado tatizo linaendelea .. cha kushangaza itawaka mpka inapotaka bu boot kwenye operating system ndo inakataa
Back
Top Bottom