Jamani Laptop yangu iko slow sana

Jamani Laptop yangu iko slow sana

Ndole

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
349
Reaction score
60
Nisaidieni mwenzenu software ya kuondoa bad registry zinazofanya laptop kuwa spidi ndogo sana
 
computer inaweza kuwa slow kwa sababu nyingi sana so kwa iyo angalia vitu vya umuhimu kwa mfano angalia how many software running in your system kwa kutumia task manager na ukill some service
au run refragment hard disk
......................................................
 
download ccleaner. ni software nzuri sana for cleaning hard disk and registry
 
Pamoja na hiyo CCleaner usisahau kurun antvirus software mara kwa mara. Lakini housecleaner mkubwa ni huyo ccleaner.It does a really good job for ur pc or lptp! For me it's a must software.
 
Yeah CCleaner ndio mpango mzima na ndio kila kitu....
 
Back
Top Bottom