Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.
Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.
Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.
Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.
Ikumbukwe mikataba ya Kikwete na wawekezaji iliupa wakati mgumu mno Serikali ya Magufuli hasa ikizingatiwa mingi ya...
Hifadhi hilo nililokujuza na kwa mapenzi ya Mungu rejea tena mwezi wa 6/ 2025 baada ya Mkutano mkuu wa CCM wa kumteua mgombea wa u Rais kupitia chama chao.
Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama.
Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo.
Waziri Bashe hakupaswa kupambana na wadau wa sukari kwa aina ile ya kiburi na majivuno! Kwa kuanzia alipaswa...
Kwa uthubutu na utenda kazi usio chosha, ni vyema sasa Mamlaka za uteuzi zimteue Makonda kuwa Mkuu wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
Kwa huyo Nurdin Babu sielewi hata huo Ukuu wa Mkoa alipewa kwa kigezo kipi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.