kuna taarifa kuwa huko kenya kuna wazalishaji wakubwa wa mayai ambao walitarajia ku export mayai nchi za kiarabu lakini kutokana kuwa chini ya kiwango(ubora) wakashindwa, sasa waya peleke wapi? kuliko kuyateteza wanayauza kwa bei ya hasara kwa wachuuzi wanaojua udhaifu wa TZ katika kudhibiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.