Natafuta mayai ya kununua tray 300 kwa wiki. wafugaji changamkeni tenda hii

Mgoda simtwange

Senior Member
Sep 7, 2012
168
64
Naleta habari njema kwa wafugaji wa kuku. Jamani natafuta mayai ya kuku wa kisasa na kienyeji. Mwenye mayai aniambie bei na anaweza toa tray ngapi kwa wiki.
 
Naweza kuku-supply hizo tray 300 kwa wiki. 6500 kwa tray, kuku wa kisasa, cash on delivery.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom