Tundu Lisu nimsomi mzuri na mtu mzima, unajua unapotaka jambo lako lifanikiwe lazima uwe mwangalifu na mjanja na usipende kufanya iliwatu wakuone fanya ili ufanikiwe. Sasa kwakuwa namuona sasa kama anaelekea kupenda kuonekana sana na kusikika nahisi kutamgharimu hatafikia lengo. Hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.