Recent content by Attaboy

  1. Attaboy

    JamiiForums Tanzania Online Aptitude Test - Ajira Aptitude Test

    Salamu kwenu wadau, poleni na majukumu na mapambano ya kusaka ajira. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kufaulu usaili wa ajira za utumishi wa umma. Changamoto huwa ni pale unapofika kwenye chumba cha mtihani; unakutana na maswali 50/100, halafu muda ni mchache. Wengi wetu unakuta tunafeli sio...
  2. Attaboy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimeumana huku, Mtia nia Ubunge CCM Jimbo la Makambako Deo Sanga, akijibu swali la Mwananchi kuhusu Mitungi ya gesi aliyodai kugawa

    Deo Sanga wakati akiomba kura za wajumbe wake pale alipoulizwa kuhusu ahadi yake ya kugawa mitugi ya gesi lakini kwa ahadi nyingine ya kujenga shule za ghorofa na ahadi ya kuachia nafasi kwa vijana katika jimbo lake wagombee.
  3. Attaboy

    JamiiForums Tanzania Ni halali kutuma pesa za matumizi kwa mama wakati mke wangu yupo kwake?

    Mimi ni kijana bado natafuta kwa ajili ya familia yangu hivi karibuni nilihamishwa kazi na kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu nyumbani akiwa mjamzito. Kutokana na ukata wa maisha ili tubidi kuuza baadhi ya vitu ambavyo ilikuwa gharama kuhamisha na nikampeleka mke wangu nyumbani kwetu...
Back
Top Bottom