habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
kijana kazi zipo chini ya jeshi la polisi kikubwa fuata maelekezo na uwe na vigezo wanavyotaka ukitaka kupewa kipaumbele utaishia kutapeliwa tu watu wa humu wanaweza kukupa ushauri tu jinsi ya kuomba kazi ila hawana uwezo wa kukupa kazi za jeshi la polisi
Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu.
mawasiliano: 0656058186
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.