Recent content by Athumani Hamis

  1. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Kuhusu Mabaraza ya Uuguzi na Ukunga na Upotoshaji wa Media Dhidi ya Wauguzi

    Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya. Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Natamani kuona ushirikiano baina ya Sekta ya Afya dhidi ya taasisi zinazosimamia imani za kidini nchini Tanzania

    Ni kweli Imani kwa sasa Imeshikiria afya, watu wanaumwa HIV wanaacha kutumia ARV. Sekta inafahamu sana tu sema kuingilia imani ndio changamoto
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Ndio kijana wangu, kuna taarifa zilituumiza kichwa mpaka tukahisi ni upigaji (TRAB AND TRAT)
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha mahojiano ya ajira kwa vijana: Chachu ya maendeleo ya Taifa

    Kama nakuelewa hivi, ikiwa hujawahi pitia hii huwezi kufahamu big up bro!
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Wanaanzisha maproject uko yanabuma alf hawasemi chochote
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilio changu katika sekta ya Afya

    Ukweli mtupu,
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Hennessy sh. 230K af Safari 1500sh lkn bdo watuuu hawasikiiiiii kuna kitu apaaaa cha kufanya.
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Haua madini nimeyapenda ofcourse kuna moja apaaaa ai basiii tu
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati sasa wa kumaliza vita hii ya vijana dhidi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia

    Unatukumbusha Industrial Revolution 1800's hakika mapinduzi haya huwa yanaacha simanzi nikikumbuka kipind hicho cha Industrial Revolution Mataifa yaliokuw yanatumia nguvu kazi watu yaliachwa nyuma na mataifa yaliyoanzish matumizi ya mashine........
Back
Top Bottom