Recent content by atheist

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Lakini kama bakwana ni NGO kama zingine, kwa nini katiba yao haipatikani? Pia mimi naona waislam wenye kuifuata hii NGO ndio wanaipa validity Kwani kutoa talaka na kupata talaka lazima mtu aende Bakwata? Halafu problem ya leadership mimi siamini kama kuna kiongozi hata mmoja wa Bakwata ana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bashe ajibu mashambulizi ya Nape Nnauye

    hawa baadae watakuja kukubaliana na kucheka kama ile hakuna kilichotokea wote ni professional politicians
  3. A

    JamiiForums Tanzania Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    This is boderline bullying yaani mnavyomuandama sijui akilala usiku saa hizi anajiskiaje Adam ana kashfa gani ambayo amehukumiwa jamani? cut him some slack please
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Mohamed Chande Othman iga mfano huu

  5. A

    JamiiForums Tanzania Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    hivi kwa nini JF mnamwamdama sana huyu hana kashfa ya ufisadi na kama wengine lakini naona you guys are having fun kumshambulia
  6. A

    JamiiForums Tanzania Membe kutangaza nia ya kugombea Urais tarehe 6 Juni

    ameshaoteshwa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Bandari mpya ya Bagamoyo

    viwanja vya bandai vyote ni vya JK ataiuzia serikali
  8. A

    JamiiForums Tanzania Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    mnamwandama sana huyu jamaa? kawakosea nini? naamini mkewe atakuwa msomi kama yeye mwenyewe. Ila naskia alioa Mwanza au Bukoba kama sijakosea
  9. A

    JamiiForums Tanzania Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    kwani hao wagombea wengine si wana kashfa za kila namna why mnamlaumu sana adam?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    na ameweka rekodi kuwa MUISLAM wa kwanza kutangaza nia ya kuwania urais 2015 kwa kweli amefanya kitendo cha kijasiri sana kwa kweli
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    Mkuu hebu funguka zaidi nifafunie kama mtoto mchanga please
  12. A

    JamiiForums Tanzania Membe kutangaza nia ya kugombea Urais tarehe 6 Juni

    Jamani nime confirm habari hii ni sahihi kabisaaa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    Ina maana hawataki kufanya kazi na Sada Mkuya? manaibu wote wanautaka urais
  14. A

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Wa kwanza PASCO wa JF
Back
Top Bottom