We chakufanya nunua daftari kish andik kila nyongeza na gharama yake na uandae akiba kwa kibubu cha nyongez ili siku akikuambia anakudai milion 1 na anatak umlipe usiseme "mi achoka"
Kilichosababisha uzichome moto ni baada ya kuziprove practically au theoritically, ninamaanisha ziandike upya kisha uzireport sababu hujamaliza all scientific procedures.
be aware of ware where underwear weared because it made your existence
:D:D:D:rolleyes::rolleyes::rolleyes::eek::eek::eek::eek:. Wewe umezaliwa mwaka gani? yesu alikufa mwaka gani? na ulimwona mwaka gani?
Je hizo sizo dawa za Hallucinogens or alcohol
Kwa nini ameshindwa kumzuia adui wake wa kwenye hzo hekaya ambaye ni shetani, kwa nini ameshindwa kujionyesha mubashara kwa watu wake, kwa nini ameruhusu asifuatwe. Je huyo ni muweza wa yote?
Hivi mfano wa mwanadamu unaweza kutoka damu, maana ni mfano vipi useme damu yake imekukomboa kwa maana kama hajaweza kubakisha mabaki inamaana asingeweza kutoka damu
Ikiwa inasemekana kuwa Yesu alitumia mwili wa mwanadamu, je damu Yake inaweza kukuponesha, je damu Ya mwili wa binadamu huchukua muda gani kukauka baada Ya kufa, je hizo sio hekaYa za NYoka watemao moto?
Karma ni uongo na ili kulithibitisha hilo ninahitaji mtu anipe sheria za karma (karma laws), sio kifizikia nnamaansha utendaji kazi wa karma ambao hauvunjiki (always its result from effect become same as effect)
Hata mm pia ni samaki ninahitaji kukunjwa angali mbichi lkn huwezi nkunja mpk univue.So ili univue lazm utege chambo, nshawishike na chambo,nifuate chambo, niimeze chambo kwa kuwa mm ni samaki mkubwa aina ya papa sivuliki kiurahisi kama dagaa inahtajika tuanze kushindana nguvu either unitoe...
Tunajitangaza rasmi maana tumechoshwa na hekaya, mara mwezi ulimkata begani mtume mara ooh amemfufua mtu.AM JUST TIRED TO FOLLOW SOMEONE WHO TELL ME TO DISCOVER COLOR OF WIND
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.