Umeme kama Tanesco wange mpa kila mtu (Kaya)umeme bila gharama za nguzo Tanzania,Tanesco ingekuwa inaingiza mabilioni ya fedha kutokana na token na Selikali wizara ya,ardhi ingepata kodi ya kila ardhi inayomilkiwa kwa matumizi ya Maya,Kuaanda,biashara nk.
Kusema kweli Mungu huchukia kuachana(Kwa sana ndoa)
Ndoa ilianzishwa ni taasisi ilioanzishwa na Mungu Mwenyewe,Taasisi hii iitwayo ndoa ni Chuo kidogo cha injili.Chuo ambacho wanaojiunga nacho wajiunge kutoka moyoni na sikufuata pesa nk.
Christina Muimbaji mashuhuri kwa chini utafakari ulikotoka...
Kasema kafafanua sana.
Wachawi wauaji walioko ndani ya CHAMA chetu inamaanisha hawawezekani ! Kuweka hili hadharani ni udhaifu mkubwa ulioko ndani ya CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.