Yale yanayotumia mnjororo badala ya tairi za kawaida unatakiwa upate kibali tanroad then utafute Gari la kuongozea msafara lenye taa juu kama ambulance then unalipa 1.5M kwa siku plus operators na mafuta but linafanya kazi nzuri utafurahi
Huwa wanasema dalili mojawapo kubwa ya watu wenye low self esteem ni kulalamika na kila kitu kwao hakiwezekani na wana Maelezo kibao kwanini hakiwezekani (waongeaji sana). Wabongo wengi tupo kwenye kundi hili. Mabadiliko yataanza kuja kama tutabadilisha "mental state" kama mdau alivyosema. Huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.