Gharama ya kukodi "gereda" kwa siku/saa

akili akili

JF-Expert Member
May 5, 2014
1,707
1,052
Wadau, tupo kwa kikao maeneo ya mbezi huku, kuna mjadala wa kudafisha barabara za kitaa. Nani anajua garama za kukodi gereda kwa siku au kwa saa. Msaada tafadhali.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio hukuti mtu anamiliki ovyo kama mnavyomiliki starlet!
 
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio maana huwezi kukuta watu wanamiliki ovyo kama wanavyomiliki starlet!
 
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio maana huwezi kukuta watu wanamiliki ovyo kama wanavyomiliki starlet! kwa njinsi navyojua wanacharge kila saa 1 sh laki moja so ukikodi masaa 12 unatoa m1.2!!!
 
Juzi juzi hapa ilitolewa thread kama hii walisema yapo pale Makumbusho kwa saa ni elfu 70.
 
Tooba kumbe yanalipaee

Ulikuwa haujajua?! bei ya chini kabisa ni elfu60 kwa saa, pia inatehemea na ukubwa wa mashine. ukitaka unafuu muelewane ulipe kwa siku na siyo kwa saa, then wewe unalipa operator wawili wanafanya kazi kwa shift.
 
Gharama zake ni laki 6 mpaka 1mil inategemeana na ukubwa wa mtambo, nani anakukodishia, anayekukodishia ni mfanya biashara punguzo kidogo huwa zipo ila si sheria
 
mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio hukuti mtu anamiliki ovyo kama mnavyomiliki starlet!

mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio maana huwezi kukuta watu wanamiliki ovyo kama wanavyomiliki starlet!

mkuu kukodi greda sio ishu ndogo na ndio maana huwezi kukuta watu wanamiliki ovyo kama wanavyomiliki starlet! kwa njinsi navyojua wanacharge kila saa 1 sh laki moja so ukikodi masaa 12 unatoa m1.2!!!
yote haya umejibu wewe...kwani starlet siyo gari!!
 
1m kwa siku dereva unamlipa na mafuta juu yako, qharama low loader kuileta unalipia diesel ya kulirudisha
 
Yale yanayotumia mnjororo badala ya tairi za kawaida unatakiwa upate kibali tanroad then utafute Gari la kuongozea msafara lenye taa juu kama ambulance then unalipa 1.5M kwa siku plus operators na mafuta but linafanya kazi nzuri utafurahi
 
Tooba kumbe yanalipaee

Ati nini.., hiyo gharama ni ndogo sana.., lile dude likiharibika inaweza ikaku-cost hata million 40 kulitengeneza.., we nenda caterpillar kaulize bei ya gearbox mpya ya grader high calliber ya tonne 40..., utajiharishia nakwambia.., si yalitukuta tulitaka ardhi ipasuke tudumbukie..., yaani acha kabisa..., kwanza mi siwezi kukukodishia bila m2 kwa siku.., hutaki kanye mbele huko..!
 
Asanteni wadau kwa michango, na vipi kuhusu garama za mafuta na dereva?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ati nini.., hiyo gharama ni ndogo sana.., lile dude likiharibika inaweza ikaku-cost hata million 40 kulitengeneza.., we nenda caterpillar kaulize bei ya gearbox mpya ya grader high calliber ya tonne 40..., utajiharishia nakwambia.., si yalitukuta tulitaka ardhi ipasuke tudumbukie..., yaani acha kabisa..., kwanza mi siwezi kukukodishia bila m2 kwa siku.., hutaki kanye mbele huko..!

kwa ulivyoandika hivi huwezi,huna harufu ya umiliki na wala hutakuja umiliki hiyo machine.
 
Back
Top Bottom