Mbona kwenye website ya PSPF mnayojinasibu hakuna hayo mafao ya kujikimu wapuuzi nyie mkopo wa kujikimu mnauita fao? Acheni ukazwazwa nyie someni sheria za mifuko muelewe maana mfuko wenu ndo mabingwa wa uongo na mna kesi nyingi sana SSRA walimu walienda kuwashtaki wakaambiwa wanawasaidia mpate...
Nimefuatilia sana mjadala wenu nyie watu wa PSPF mmetumwa LAPF bado ni mfuko bora nyie wenye ripoti ya SSRA ambayo ina unqualified opinion ya deficit mnapinga nyama mnatoa mafao ya uzazi mkibanwa mnasema mnaanza kutoa 2016 toka 2010 mm naajiriwa kwenye ualimu mlikuwa mkidanganya akina Dada ss hv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.