Recent content by asumpta

  1. A

    Nyumba ya familia ndogo inapangishwa Ubungo external near Mabibo hostel / Riverside

    Nakupigia sim iko busy mda wrote nahitaji hiyo nyumba
  2. A

    Mwenye contact za dr Kibona

    yule dr msabati anatibu kwa tiba mbadala.kama kuna mtu anajua ofisi yake anielekeze pls nna shida nae.
  3. A

    Msaada: Mzunguko wake wa hedhi unabadilika kila mwezi, je nitawezaje kumpa mimba?

    Mkuu uliecomment hapo juu umekosea kidogo ni siku ya 14 toka aanze kuona siku,hata hivyo anaweza kuanza siku ya 10 toka aanze kuona siku hizo siku kuanzia ya 10 hadi 18 anaweza kushika ujauzito
  4. A

    Faida za kula mayai ya kuku wa kienyeji

    mkuu mzizimkavu,zuri la kukaanga au kuchemsha?
  5. A

    Msaada wa gym

    mkuu weka hapa tufaidike wengi
  6. A

    Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Wadau habari zenu,naomba mnifahamishe wapi nitapata product za mti wa mlonge kwa hapa dar maana nasikia ni dawa nzuri sana. Natanguliza shukran
  7. A

    Nitumie dawa gani inisaidie wajameniiiiiiiiiiiiiii........ ..........

    waxing ndo inakuwaje mkuu,nieleweshe please
  8. A

    Msaada juu ya dawa ya kibofu cha mkojo wa mtu mzee

    Dr Kim anapatikana Muhimbili au Kinondoni hospital ana clinic pale.Dr yongolo wa Muhimbili na pia anapatikana Tumaini hosp
  9. A

    Msaada juu ya dawa ya kibofu cha mkojo wa mtu mzee

    Mkuu kama madaktari wamekwambia upasuaji ndo suluhisho kwa nn usimshauri afanyiwe tu.wazee wanateseka sana,mm baba yangu alikuwa na hiyo shida mbona alifanyiwa upasuaji mwaka juzi hadi leo mzima na ana miaka zaidi ya hiyo 65.vinginevyo atatumia mpira tu(catheter).
  10. A

    Special and SERIOUS ANNOUNCEMENT.

    ww una sura ya mauzo?
  11. A

    Tiba kwa matatizo mbalimbali ya kiafya

    simu yenyewe haipatikani.
  12. A

    WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    Duh sasa unalipa ili wakuajiri au ndo kama kitu kidogo hapo pamenichanganya,poleni
  13. A

    Natafuta Mwanaume Mchaga aliyechelewa kuoa(40-46 years)

    Kila la kheri ila naona kama umewacommand sana watakuogopa,labda cjui
  14. A

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Sio lazima na wewe umshauri yy ameomba ushauri kwa wataalam mambo ya kutoa mimba yanatoka wapi sasa?hizo mimba ulimtoa ww?pole ndugu yangu humu utaambiwa mengi.
Back
Top Bottom