Recent content by Astrid

  1. A

    JamiiForums Tanzania Cocastic nakuaminia!

    Huyo ni Engineer kutoka CoET at UDSM ni moja kati ya pisi kali sana kutokea Songea mjini, she is very beautful and humble. Mitaa yake ya kujidai (makazi) ni msamala songea mjini by the time yupo hapa mjini kuendeleza maisha. USIJICHANGANYE HUYO NI JIRANI YANGU. Mimi nipo hapa Seedfarm Songea...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sisi wanawake tupewe maua yetu

    Acha waendelee kukupiga mikuyenge hadi akili ikukae sawa ndio utakubali kumpokea mwanaume mwenye nia ya dhati ya kukuoa. Kwa sasa acha wajuba waendelee kuisosomolaaa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Gypsum Board - Double Elephant

    Ndugu zangu wana Jf, Kwa sasa I am on the way kukamilisha my dream house kwa hatua ya kuweka /kufunga Gypsum board. Nipo mkoani na SIPO DSM. Kwa makadirio ya fundi wangu ninahitaji GYSUM BOARD KAMA 75 HIVI. Kwa huku niliko hizi gypsum board za double elephant HAZIPO NA HAZIPATIKANI. KWA...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ninapambana mwanangu awe raisi 2030

    KILA LAKHERI MKUU. Mimi pia nilitamani kufanya hivyo kama ambavyo wewe una wiwa kufanya kwa mtoto wako. Mimi niliplan kufanya hivyo mwaka 2025 kwa condition kwa Samia asipogombea basi mimi nitakuwq miongoni mwa wagombea watakaoomba ridhaa ya chama cha mapinduzi (CCM) ili kuongoza dola. Kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ninapambana mwanangu awe raisi 2030

    Sio kuwa umesahau kumeza dawa zako leo Mkuu? Kama umesahau basi nenda kameze hizo dawa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    UOLEWE SASA KWA SABABU UMESHAKUWA MSHANGAZIIII
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

    Kama hapo HAKUNA JINA LANGU basi hiyo list ni batili kwa sababu mimi ndio NAMBA MOJA anayekuja. Take it or leave it.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Ni rahisi sana, kila unapopokea mshahara wako jitahidi uweke akiba ya Mill 2.5 kila mwezi maana yake ndani tu ya miezi kumi utakuwa na 25 Millioni na ukivumilia kwa 2 months more maana yake utakuwa na 30 Mill kwa mwaka na hapo huna tena sababu ya kwenda kukopa benk au sehemu yeyote. Utakuwa na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Victor Mhagama aongoza kura za maoni jimbo la Peramiho

    Kumsamala niwukili, niviii kulonda kudasi ukuu kumbwanii
  10. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Victor Mhagama aongoza kura za maoni jimbo la Peramiho

    Sisi wa Msamala tunafanyaje sasa boss wangu ? Nakusikiliza ndugu yangu wa damu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bishop na Bingwa wa Utabiri Dickson Kabigumila asema 'Utekaji na Watekaji mwisho wake ni mwezi 8/2025

    Hata maiti yake haitaonekana sehemu yeyote ile.
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa la 7. Mbunge wako yupo?

    Ongezea na VITA RASHID MFAUME KAWAWA
Back
Top Bottom