Recent content by Asseid jr

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mdomoni wajuaji lakini kitandani 'magogo'

    [kasoro zetu wanaume isiwe sababu ya kuwasema ovyo wa kina dada. Mwanaume anaejitambua na kujielewa hawez kusema haya!kwako mtoa mada pole sana kwa udhaif uliokua nao....hapa umechemka.......QUOTE=Emirates4;7353506]I AGREE MKUU!! Mimi ni mwanaume pia lakini huyu si mwanaume nadhani ana jinsia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    In arsenal we trust.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

    karibu sana Iringa University....usiwe na wasi course ipo vyema sana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

    hii kozi poa sana, uliza utapewa taarifsa zake,
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

    Nimechaguliwa. Bachelor of Art In Cultural Anthropology and Tourism. (BACAT). IRINGA UNIVERSITY.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ? Tumaini university iringa na university of iringa

    Kipo makini sana jombaaaa. Karibuni.........
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ? Tumaini university iringa na university of iringa

    Sawa kabisa. Mtoa mada hope umeelewe vizuri sasa........
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu Iringa University

    Poa, unasoma kozi gni pale na mwaka wa ngapi@nyigo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ? Tumaini university iringa na university of iringa

    Tumaini makumira ndio main Campus........
  10. A

    JamiiForums Tanzania Iringa university

    Mimi iringa University npo Bacat......anaitaj masaada kuhusu hii coz, karibuni sana@nyigo.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Iringa university

    Kwa wale waote waliochaguliwa kujiunga na university iringa karibuni tupeane mainfo kuhusu pande zile za semtema........umechaguliwa coz gni?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ? Tumaini university iringa na university of iringa

    Tumaini university college iringa na Iringa university ni chuo kimoja....ambapo mwanzo kilijulikana kama chuo shirikishi cha tumaini bt nw kimekua university of Iringa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu Iringa University

    Kuhusu malazi chuo kina hostel zake lakini sio nyingi na idadi kubwa ya wanafunzi wamepanda out ov campas......
Back
Top Bottom