Nadhani ni sababu ya promotion ,kwangu mimi fursa zinampata anaefanya kazi na tunaona matokeo
Wewe kila sehemu una haribu ,utapenda kwenda semina tu ,ila ukitoka huko una relax .
Hufanyii kazi uliyofundishwa huko .
Inanipa mamlaka ya kumpa onyo ,
Na kumuandikia makosa yake kwa barua ,asipobadilika ninamshtaki kwa ngazi za juu .
Hivyo anaweza kuhamishwa kwa utovu wa nidhamu
Sijabana Sana ila walau nimebanana ,
Wakati naingia mapato yalikuwa hayafiki laki 2
Lakini now tunachezea mil 3.5
Dili zangu nyingi zinatokana na jinsi ninavyokusanya .
Mimi ni mkuu wa kituo ,kazi za kujiripa ni nyingi .
Yaani nikipigika naenda tu hata kutoa elimu sehemu fulani .
Najiandikia per...
Mimi kwa upande wangu naona nime emprove Sana kwenye kuandika .
Everything need exercise ,unaweza kuwa msomi mzuri lakini usijue kupangilia vizuri maneno
Napenda Sana kusahihishwa
Asante kwa ushauri ,japo kwa upande wangu nilipunguza kumtuma na kumpa fursa za semina .
Lakini naona anazid kunichukia Zaid, nilishawahi kumuandikia barua lakini hajawahi kujirekebisha .
Kwa experience yangu naona hivi ninavyoishi nae ni sahihi ,kwa sababu nakwepa mambo mengi Sana.
Ebu fikiria...
Sisi ni watumishi wa afya ,mimi ni mkuu wake wa kituo .
Mimi ni AMO yeye ni ANO
Hii ni kazi yangu ya kwanza serikalini ,japo nilifanya Sana privates kabla sijaingia serikalini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.