brb wa2 hawapendi sura wala uzuri..wa2 wanakabz Moyo kwa wale wanaowapenda.......sema ni bahat mbaya kumpenda m2 asiyempenda ila dada yang be blesd na Moyo wako
2mefatilia na 2meona kwel hata nch za wenze2 wanaporomoka kiuchumi ila wanawajbka na sabab zlizowapelekea kuwa hvyo ila je Tanzania 2mefanya nin kupambana na hal ye2 usiangalie msiba wa wenzako wanalia vp wakat wako unao
kutoam Maoni pia ni kuifanyia jambo kubwa katka nch yako....sio kla cku 2naambia na kuulizana we umeifanyia nin nch yako mpaka kuingia humu na kutoa Maon ye2 nalo ni jambo kubwa toa upuuz wako we kwan umeifanyia nin?
Aiseee...ckutegemea m2 aliyekuwa anataka kuwa rais kukubal kupokea mshahara wake kama huu yl nch yake kuna wananchi wanaish chn ya dola 1.5 na uchumi japo upo juu E.africa na jamaa ana Esate kubwa sana kenya,supermarket share ya mafuta libya atleast angeonea huruma wanchi wake na huu n mda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.