Recent content by Asprin

  1. Asprin

    JamiiForums Tanzania SAMWELI KIMEKUMTA NINI TENA? AMETISHIWA AMANI BAADA YA KUDAI POSHO ZAKE?

    Naona unatuuliza afu tena umetujibu mwenyewe.... Thread closed.
  2. Asprin

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kiswahili mtusaidie tuondoe ubishi ni Akili mnemba au akili mnembe

    Ili mradi tu kwenye hiyo herufi "m" pasisomeke "ki" Vinginevyo kazi iendelee tu. Haijalishi inatamkwaje cha msingi ushajua ni Akili bandia
  3. Asprin

    JamiiForums Tanzania Hili kabila la Wachaga linakuaje moja wakati lugha ni tofauti?

    Uko sahihi kabisa. Maana kiukweli kabisa Nguruwe hawezi kuoa paka wala mbwa.
  4. Asprin

    JamiiForums Tanzania Hili kabila la Wachaga linakuaje moja wakati lugha ni tofauti?

    Sio hati za nyumba?
  5. Asprin

    JamiiForums Tanzania Hili kabila la Wachaga linakuaje moja wakati lugha ni tofauti?

    Kwa sababu wote wanakunywa mbege na wako chini ya mlima Kilimanjaro.
  6. Asprin

    JamiiForums Tanzania Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Naunga mkono hoja. Tena alipwe na riba juu kabla eda haijaisha...
  7. Asprin

    JamiiForums Tanzania Mabinti endeleeni kutupenda wachaga sio wote tunaroho za uharibifu

    Liwalo na Liwe. Sisi bia zinatutosha... Kipochi manyoya hata mbuzi anacho. Tena alivyo na madharau kakiweka nyuma huko na mkia kaupandisha juu... Mukiangalie mtakavyo mpaka mkome.... Viuno vinakakamaa na hati hatutoi. Na bastola tunamiliki....
  8. Asprin

    JamiiForums Tanzania Mabinti endeleeni kutupenda wachaga sio wote tunaroho za uharibifu

    Uzuri mimi sio mchaga.... Mimi ni Mrombo CC Kaizer
  9. Asprin

    JamiiForums Tanzania Utakufa na maiti yako haitaonekana

    Kiburi chao ni kwamba hata msipowazika hawana cha kupoteza. Sanasana watawakera kwa maharufu yao ya miili iliyooza....
  10. Asprin

    JamiiForums Tanzania Mboga mboga nyingi Zinapigwa sumu

    Kwahiyowakikojolea wasio walevi hakuna tatizo kwako?
  11. Asprin

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

    Duh.... hata code ndogo hivyo imekushinda? Kweli JF inazidi kuzaa
  12. Asprin

    JamiiForums Tanzania Mpangaji mpya

    Kwahiyo unavyompikia kwa nje majirani wanageuka kuwa vipofu??? How old are you babygirl?
  13. Asprin

    JamiiForums Tanzania Simba tayari wameshafungwa kabla ya mechi

    Yawezekana uko sahihi mkuu.... Ila kwenda south Africa kama hela wanayo sijaona tatizo lolote. Au ulipendekeza waende wakaweke kambi wapi?
  14. Asprin

    JamiiForums Tanzania Tamu ni tamu!

  15. Asprin

    JamiiForums Tanzania Tamu ni tamu!

Back
Top Bottom