Recent content by Askofu Pius Ikongo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Pius Erasto Ikongo kumbe ni mwanasiasa

    Nilikuwa na mambo mengi nikakosa muda wa kukujibu hoja zako. Sawa umesema mambo mengi kuonyesha kwamba Askofu kugombea Ubunge ni dhambi au ni kosa, je unataka kusema Wachungaji na Maaskofu waliopo Bungeni kama Mchungaji Msigwa na wengine wengi wanadhambi gani? au wao wameingia Bungeni bila...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Sawa utatukana upendavyo. Ila ukweli utabaki palepale, mbona umeficha jina lako na picha yako kama wewe ni msafi? unajificha kwanini? Je kuwa mwanachama wa chama fulani ni dhambi? mbona hujajibu Katiba Inayopendekezwa inamapungufu gani ya kuwakwaza Maaskofu?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Uhuru wa kuabudu sio maslahi binafsi, Ebu nijibu unamfahamu mwenyekiti wa hilo Jukwaa la Wakristo?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Narudia kusema tena labda ulikuwa na hasira, Nimesema kwa kipengele cha kuhubiri Neno la Mungu Imewapa Viongozi wa Dini uhuru mkubwa sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    oky kama umeisoma kura iwe siri yako.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Asante. Nashukuru Mdomo wako Umetamka YESU. Sasa kwakuwa umetamka Yesu Kwa kutumia mdomo wako basi linda usitamke tena matusi. Na Bwana Yesu Uliye mtamka atakusaidia na jua unamatatizo mengi na unahitaji Bwana Yesu Akusaidie.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Sawa pamoja na matusi mimi nitakujibu hoja yako. Maaskofu wanatakiwa Wabebe Neno la Mungu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Mimi sijasema upige kura ya ndio unanisingizia. Nimesema Watu waisome kisha Mtu mwenyewe aamue anapiga kura ya namnagani.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Yaani unaongea matusi bila uwoga wowote hadi nakutambua wewe ni wale Waumini walioelemewa na mizigo ya dhambi. ndio maana hata nyumabni kwenu wanakuona hufai mapa wazizi wanatamani kukulaaani. Sioni shida ukitukana kwani siwezi kutengemea mdomo wa choo ukatoa harufu nzuri hata siku moja...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Nimesema kwamba nimeisoma katiba inayopendekezwa na nikaona kwa Viongozi wa Dini ni nzuri sana kwa sababu imetoa uhuru mkubwa wa kuhubiri Neno la Mungu kila mahali. Hivyo sioni sababu ya kupingwa na Viongozi wa Dini. Au na wewe ni kiongozi wa Dini unipe ni kipengele gani kinakukwaza?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Sawa nashukuru kwa matusi yote. Ila hujajibu hoja Katiba inayopendekezwa Inamkwaza nini kiongozi wako wa Dini
  12. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Nilichosema kwa kifupi Maaskofu hawawezi kubeba hoja za Waumini.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Mbona hujibu hoja. Kuchumia tumbo ndio nini kwani wewe unachuma kwaajili ya nini?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Nadhani wewe ndio hujui unacholiongea. Ebu nijibu haya maswali, Watumishi wa Mungu wenye Vyama na ni Wabunge wanadhambi gani? Na wewe kuonge maneno ya kashfa huku ukijua fika umeficha picha yako na jina na kujifanya unamjua Mungu kwa nini ujifiche? Na Katiba ianyopendkezwa inamakosa gani? Je...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

    Mbona mimi si kama wewe unayeficha mpaka majina yako? Soma hapo juu kilakitu kiko wazi hadi picha; Biblia inasema Mwana akiwawaweka huru mnakuwa huru kwelikweli
Back
Top Bottom