Recent content by Askofu Oby

  1. Askofu Oby

    Wafuasi wa Chadema wanapitia njia ya Savimbi na wafuasi wa UNITA

    Mungu aingilie sasa niwakati wakuamka kweke Mungu na kuliokoa taifa la tanzania viongozi wetu tunawapenda sana jamani Mgeukieni Mungu jamani
  2. Askofu Oby

    Wafuasi wa Chadema wanapitia njia ya Savimbi na wafuasi wa UNITA

    Nikweli kabisa laiti viongozi wakisiasaxwangejua kusudi Mungu alilowaweka hai mpaka sasa msingefanya huo mchezo mchafu sasa Mungu tu aingilie kati maaana kwaa akili zetu hatuwezi kabisa jaman viongozi tufunguke ufahamu jaman tuvae hekima ya ki Mungu wapendwa jaman
  3. Askofu Oby

    Mbinguni ni wapi?

    Amina ndugu Yesu asifiwe
  4. Askofu Oby

    Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

    Achana nae huyoo kaka kwanza nahisi kama shetani anamtumia bibli inasema usinyoshee kidole yeyote aliowekwa kwa kazi ya Mungu Mchungaji,mwinjilst,nibiii.nk.Acha kunyosha mkono juuu yao unauchokoza uso wa Mungu umeona mtu hatendi haki piga magoti mlilie Mungu omba toba juuu yake ili tuwe salama...
  5. Askofu Oby

    Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

    Kwakuwa Reeema za Mungu nimpya kila siku hakuna neno zaidi ya Mungu akurehemu na akunze na akufungue hapo ulipo macho yako yaone vemaaa ubarikiwe mnooo
  6. Askofu Oby

    Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

    Mungu akusaidie sanaa maaana hujui ulinenalooo
  7. Askofu Oby

    Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

    Mungu akuhurumie maaana hujui ulinenalooo so Kwamaa Mungu ni warehema hakuna shida Mungu akuwezeshetu nduguu
  8. Askofu Oby

    Mbinguni ni wapi?

    Ameeeeen mbarikiwe sana mjadala mzuri Mungu awazidishie saana katika kumjua yeye apanue wigo wa fikra zenu na Mungu akae kwenu daima afu tanzania itakuwa kisiwa cha Mungu sio kisiwa cha mizimu
  9. Askofu Oby

    Askofo Oby

    Ezekieli:3.3 Akaniambia, Mwanadamu, lisha tumbo lako, ulijaze tumbo lako kwa hili gombo nikupalo. Ndipo nikalila, nalo kinywani mwangu lilikuwa tamu, kama utamu wa asali. Ezekieli:3.4 Akaniambia, Mwanadamu, haya! Waendee wana wa Israeli ukawaambie maneno yangu.
  10. Askofu Oby

    Vikwazo vipya Marekani kulenga Tanzania, China, Korea Kaskazini

    Sawa Mungu nimwema sanaaaaa
  11. Askofu Oby

    Vikwazo vipya Marekani kulenga Tanzania, China, Korea Kaskazini

    Silaa zetu nikubwa sana maaana sisi ni neno la Mungu
Back
Top Bottom