Recent content by askali

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

    Wadau nashindwa kuelewa kwanini tuna jikuta tunaingia kwenye mahusiano ya kipuuzi namna hii hivi kweli ni maadili ya afrika ndo yamefikia huku kweli jaman mkwe wa mbunge wa mbeya ,mjini sugu anatangaza mtandaoni kua ana hamu ya kufanya mapenzi na kuona hii hali ni ya kwaida kwake watu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urais Vinaimaliza CCM, Wao kwa Wao kama Wapinzani wa Jadi

    Membe na luwasa wasahau kwenda magogoni
  3. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa amjibu Nape

    ben wewe na chama chako uko salama kwanini ue mkosoaji wa chama ambaco si chako Inapofikia hatua Katibu wa Itikadi na Uenezi anatoa matamko na tuhuma nzito kuwa kada Mwenzake Lowassa anavunja kanuni na taratibu za chama kwa kuaandaa makundi ya kumshangilia na kumuunga mkono ni lazima sasa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa amjibu Nape

    lowasa afukuzwe tu kwenye chama kwan ana umuhimu gan hafai mtu mwenye mitandao ya ovyo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa amjibu Nape

    nape ana side gan
  6. A

    JamiiForums Tanzania SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    swala la urais ni swala nyeti sana lowasa na membe wana iabisha sana taasis ya uras na ccm wana watazama tu ...hapo kinacho fa6ta sasa ni anguko la chama navoona mimi
  7. A

    JamiiForums Tanzania SIRI NZITO Vita ya Urais: Lowassa na Membe Kuvurugana... Hatari ya CCM Kumeguka!

    kwanini hawa wagombea kila siku ni wao tu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Lowasa rais wa inji wanayo pooza
  9. A

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    hii yote ni usimamizi mbovu wa serikali
Back
Top Bottom