Recent content by asjo

  1. A

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Natafuta spare za simu ya s4

    Mkuu machine nnayo...upon wapi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Binadamu kuishi milele kama jaribio la kuonganisha ubongo na mfumo wa kompyuta litakamilika

    Wanadhani binadam anakufa kwasabab tu amezeeka? Kufa ni kitu kingne na uzee ni kitu kingine
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, vidonda vya tumbo vunaweza kusababisha kuto pata ujauzito?

    Unafikiri mtoto anakaa tumbo la chakula mzee?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hebu Dada zetu / Wanawake mtuhakikishie katika hili tafadhali kwani inasemeka kwamba lina ukweli wa 99.9% ndani yake kwamba.....

    Naona majibu mengi humu yanakubaliana na mtoa mada, sasa swali linakuja kwenu wadada, je ni bora udate na mwanaume ambae hana hela ufikishwe kileleni au udate na mwenye hela upate unachotaka then uguswe guswe tu kunako bed?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma Leo jioni ktk picha

    Jiji la Dodoma au ghorofa la Dodoma?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama kweli unajielewaa huwezi hifadhi video za ngono kwenye simu yako

    So bora kuangalia online sio?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Sweet Pain(Mauvivu Matamu)

    Mwanzo mzuri...ila sehemu ya kwanza mbona haipo kiongoz?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Katka vitu ambavyo siwezi ni kukaa kwa shemeji(mume wa dada) yaani mimi sio kukaa hata kwenda tu kushinda kutwa moja huwa inaniwia vigumu inakuwa kama amewaoa wote na naomba mungu aniepushe kadhia ya kukaa kwa shemeji
  9. A

    JamiiForums Tanzania Pius secondary school

    Shule ipo kongowe njia ya kwenda kigamboni, ni shule ya bweni tu Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mkuu baadhi ya mchanganyiko wa dawa hapo nimeshatumia ila bado
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Shukran sana mkuu sulayman, lakini shida ni kwamba izo dawa ulizozitaja nimeshatumia lakini sikupata nafuu yeyote
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Shukran sana mkuu sulayman, ila shida ni kwamba izo dawa ulizozitaja tayari nimeshatumia lakini sikupata nafuu yeyote
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Sawa sawa, basi usikose kunipa mrejesho
Back
Top Bottom