Recent content by asiliyetu kwanza

  1. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Iran wanaposimama imara, lakini si Watanzania

    Iran ni kati ya mataifa 10 yenye nguvu duniai
  2. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Iran wanaposimama imara, lakini si Watanzania

    Acha ujinga wewe mamluki wa nje wamezibitiwa
  3. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Nchi za Jumuiya ya Ulaya ni janga kuu la maendeleo la nchi za Afrika

    Najaribu sana kufikiria, je Afrika utapataje maendeleo endapo Kila kitu ambacho tunachotaka kufanya cha maendeleo yetu ulaya inapinga, inatoa vijisababu vya ajabu ajabu mpaka unakosa majibu Nia Yao ni nini hawa jamaa.ninachokiona hawa wazungu hawana mpango mzuri na watu wa Afrika. Haiingii...
  4. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

    Duuh! tozonia!?aisee
  5. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Aliyejifanya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ashughulikiwa

    Mwacheni akatozwe adabu kwenye kanyampasila.
  6. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Balaa zaidi unapoweka,au pesa Yako inapopitishiwa bank makato yake utakoma ukitoa Benji kupeleka katika simu wanakata na unapotoa katika simu Nako wanakata Kila Kona tozo hatari sana.
  7. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani toeni kauli juu ya tozo hizi

    Jitahidi kuwaamsha waliolala mkuu
  8. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Pamoja tunasonga
  9. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ndio huu, Dar-New York kwa B787-8 gharama ya mafuta ni TZS 267M

    Tulizimiss safari za ng 'ambo , natumai misaada mpaka ndani yetu
  10. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu: CCM itabaki kuwa ya wanawake

    Na sisi wanaume tushirikiane tumuweke rais mwanaume maana zamu yetu ilikuwa bado Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  11. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Hii ndio nchi ya kitanganyika Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  12. asiliyetu kwanza

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

    Nyongeza yako ni kama akili yako ilivyo kutuma
Back
Top Bottom