Recent content by ASHURAY ABDALLAH

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Hapana, sijawahi jitolea TRA,, nimeomba tuu nikapita kama wengine!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Asante Mungu nimebahatika,, nilikua sina imani na utumishi,, sasa nimeamini kweli inawezekana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    Zipo za kutosha kwa kweli, hongereni kwa mliochaguliwa, kweli mi mipango ya Mungu!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

    Nawe pia mtihani mwema, tutakutana kujipima, maana sio kwa umati huu! Duuuh Mungu tusaidie kwa kweli
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Tanroads Interview!

    Nimepigiwa simu na Tanroads Morogoro niende interview. Jamani msaada wenu interview zao hua zinakuaje?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Hiyo ya mtaji tu, frem ipo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Jamani naombeni ushauri wenu kuhusu mpesa na tigopesa Kwa mtaji wa million moja, vipi unalipa ama ntapoteza? Plz nahitaji ushauri nipo serious
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    Jamani nisaidieni, nasikia kuna kazi zimetangazwa na tanapa, lakini mi nimetafuta cjaona, nisaidieni kama ni kweli niapply..
Back
Top Bottom