Recent content by Ashuraju

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    naomba namba yako ya simu tuongee.nataka mzigo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua

    Mkuu, naweza pata namba yako. mimi nahitaji hizi heka
  3. A

    JamiiForums Tanzania Huawei ascend y300 inatakiwa

    Ninayo, fanya 130,000 nakupa leo leo. iko katika condition nzuri sana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bagamoyo Kiromo

    Bado kipo kiwanja?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hp probook 4340s on sale, 700,000tsh.very very good condition

    hapana mkuu!mwisho 680,000
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hp probook 4340s on sale, 700,000tsh.very very good condition

    Habari zenu wadau, Nauza laptop Hp probook 4340s,13.3inch,500GB HDD,4GB RAM, intel core i3-3110M@2.4GHz. please PM me if you need it
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Asante sana, hili la maji ya baridi sikufaham kabisa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa mapishi (mtaalamu wa salad)

    Asante sana, yaani umenipa msaada mkubwa sana na hiyo app, acha nidownload.asante
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa mapishi (mtaalamu wa salad)

    Habari zenu wana Jamii, Hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha biashara ya chakula ila nina shida ya mwalimu wa mapishi, sana sanaa ni utengenezaji wa SALAD za aina mbalimbali,naomba msaada sana jamani. Kama unamjua mtu au wewe mwenyewe unaweza kunisaidia nitashukuru sana! Nawasilisha...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga mwananyamala,tabata,kurasini

    habari zenu, naomba msaada wa chumba cha kupanga,self contained, chumba na sebule,kiwe na tiles au sakafu nzuri. bajeti yangu ni 100,000 nina kodi ya miezi 3.. mwenye taarifa ya dalali mzuri pia nitashukuru
  11. A

    JamiiForums Tanzania chumba cha kupanga tabata

    Habari zenu jamani, natafuta chumba maeneo ya tabata relini mpka baracuda. kodi 100,000 ninayo ya miezi mitatu Tafadhali naomba msaada
  12. A

    JamiiForums Tanzania chumba chakupanga njia ya gongolamboto.mombasa,jeti,kipa wa

    Habari zenu jamani, Naomba msaada natafuta chumba self contained mitaa ya kipawa,jeti,mombasa,banana. njia ya kwenda gongolamboto Dar es salaam. tafadhali naomba msaada Asante
  13. A

    JamiiForums Tanzania Fruit salad

    Habari zenu ndugu zangu!!! Jamani ninashida ya ujuzi wakutengeneza fruit salads, kama kuna mtu anaweza nipatia link au recipes nitashukuru sana. nahitaji kujua aina nyingi nyingi ya fruit salad, ili nitengeneze nyumbani. Asante sana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 150,000

    asanteni sana,
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 150,000

    habari zenu wanaJF, nina mtaji wa 150,000 naweza fanya biashara gani.naomba ushauri.naishi kurasini..
Back
Top Bottom