Wamarekani wamekosea na wanajua wamekosea na watajitajidi kujirekebisha; kama walitaka kutoa msaada watatoa kama hawataki basi, lakini hakuna haja ya kupoteza muda kulilia nyumba ya tajiri eti akupe ulala upenuni, kazana tafuta ya kwako; badala ya kukesha kutafuta mchawi Watz fanyeni kazi na...
Ni vizuri ukawa na uzoefu mkubwa kabla ya kuingia huko, lazima utapigwa sana kabla ya kufanikiwa. Katika biashara hiyo wapigaji ni wengi mno kupita wauzaji au tuseme wafanyabiashara; wapigaji ni professional na wala huwezi wagundua mpaga wamekumaliza, lakini ukisha isoma sekta nzima na kuielewa...
Ni janga na jipu pia - hapa kuna fursa kubwa tu ya vijana, ila wapatiwe uwezo yatengwe maeneo salama na serikali iweke miundombinu ya umwagiliaji wa maji safi halafu ikodishe bustani hizo kwa vijana ambao wamejaa mjini hawana ajira. Wanasiasa lichukueni hilo; hiyo miundombinu mbadala ikiwekwa...
wewe naona hauko Tz sijui uko wapi nafikiri ungekuwa hapa usingeandia hayo unayoandika, Mh JPM achukue ushauri kwa Kikwete???? are you serious Indian????? Hebu kaa chini kwanza tafakuri na jiulize unaemzungumzia ni JPM au someone else......
sasa huwezi kumlinganisha kikwete na mh JPM; hilo ni wazi; JPM ni mkombozi wa Tanzania wakati wengine walifunika kombe na kufumbia macho uozo wote unaoibuliwa na JPM, so point yako iweke vizuri ueleweke; Kuna msemo mmoja tu ndio nilijifunza toka kwa mzee wa smile "akili za mbayuwayu changanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.