Recent content by Ashruq

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rooms allocation, UDSM

    Jana nilipata block sorry Leo nimefungua tena kitu cha hall 1 block A.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Nichekie s0833.0030.2004
  3. A

    JamiiForums Tanzania UDSM, DUCE and MUCE: Shift from Unit system to credit system

    Na GPA ndio wanataftaje sasa?maana nimeshangaa result zangu...unit 3 wameweka 12...2 wameweka 8....so wamezidsha Mara 4.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kubadilika kwa ratiba ya UDSM

    Yaa chuo wamesogeza wiki 2 had 20 October 2014 you can download it through https://udsm.ac.tz/node/275
  5. A

    JamiiForums Tanzania BSc in Textile Design and Technology

    Huyo mdada ustadhat mi namfaham San anaitw Mlemza.
  6. A

    JamiiForums Tanzania BSc in Textile Design and Technology

    Duuu anaitwa Mlemza........nimepatia???????
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa ila kozi siitaki

    Mi mwenyewe Niko hapo udsm, nimeshuhudia watu wakibadilisha kozi na wanafanikiwa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa ila kozi siitaki

    Una uwezo wa kubadilisha within a first week but inabd uwe na sifa pia kuwe na nafasi kwenye coz unayochagua...kwa maelezo zaidi fika chuon uchukue admission letter utapewa name karatac yenye hayo maelezo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiregister instagram naambiwa too many users register using ur device.

    Instagram wanatoa limit kwa device moja ku register idadi fulani ya akaunti. Kama simu yako umenunua kwa mtu basi jua ilishafikia hicho kiwango (kikomo). Kama unataka kufungua tafuta simu nyingine hata ya mtu azima (register) ukishamaliza rudi kwenye simu yako na uingize details zako (log in)...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiregister instagram naambiwa too many users register using ur device.

    Asante San nimefankiwa Mkuu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Aaaaah wapi habari wametoa hadi BBC Swahili!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kujiregister instagram naambiwa too many users register using ur device.

    Cm aina ya Grigh inspire...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    Zima cm then shika baton ya kuzimia , ya saut na ya kati kwa pamoja kwa nguvu utaon option ya kudelete kula kitu...
  14. A

    JamiiForums Tanzania msaada jinsi ya kuistall windows xp from usb flash drive

    Mi mwenyewe nimeinstall window 8 32 bit kwenye mini ila nkifungua software za window inaniambia nirekebishe resolution ..nikienda haibadilishiki imeweka kivuli..
Back
Top Bottom